Tangazo la zabuni ya ujenzi kwa wazabuni wote wenye sifa.
Tangazo la zabuni ya ujenzi
Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (1984) Ltd kinawatangazia zabuni ya ujenzi, wazabuni wote wenye sifa kushiriki na kuwasilisha maombi yao ya kuomba tenda. kwa maelezo zaidi pakua kiambatishi hapo chini.